Sasa Huduma hii ya kuwa Wakala wa Halopesa imerahisishwa. Pata kumiliki line yako ya Wakala wa HaloPesa ndani ya Masaa 24. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
Mahitaji/Viambatanisho:
1. Kopi ya TIN namba
2. Kopi ya Leseni ya Biashara
3. Kopi ya Kitambulisho
4. Namba ya Halotel
Kopi hizi zote, pamoja na namba ya simu ya Halotel itakayokuwa ya uwakala zinaweza kutumwa kwa Whatsapp - 0629118618.
Ndani ya Masaa 24, namba yako itakuwa tayari inaweza kufanya miamala kama wakala.